Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 16, 2010

Inakuja kaeni mkao wa kula wanangu mlio pande za TZ


Jamani hayawi hayawi sasa yamekuwa fiesta ndio hiyo inakaribia wale wadau ambao mko pande za tanzania kaeni mkao wa kula kama tangazo pichani lilivyoanza kunadiwa na wadau mbalimbali
picha na inno lyimo!

No comments:

Post a Comment