Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 11, 2010

IMANI YA MANYOYA BADO YAWASUMBUA WENGI!


Mama mmoja eneo la Mataa ya Salenda akiomba msaada wa chochote kitu kwa Masamaria Mwema,lakini huyo Msamaria Mwema baada ya kumuona yule mama akaamua kupandisha vioo vya gari yake na kufunga kabisa kama uonavyo pichani,Daa nilisikitika sana,nikabaini ni ile hadidhi ya Manyoya ndiyo inayomtisha Msamaria huyu.
Na briton masaua!

No comments:

Post a Comment