Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 11, 2010

Basi la Hood lapata ajali Kitonga

Basi la kampuni ya Hood limegongana uso kwa uso na gari la mizigo (Canter) katika eneo la Kitonga katika barabara kati ya lringa na Morogoro.Baadhi ya abiria wa basi wakiliangalia gari hilo la mizigo likiwa bondeni.
Picha kwa hisani ya globalpublishers!

No comments:

Post a Comment