Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 9, 2010

UMECHOKA KULA RAHA DUNIANI????

Ama Kweli teknolojia inaendelea kuleta maajabu. Hii sio Helicopter ya kusafirisha watu kama wengi tunavyodhania, Hii ni Hoteli ya Hewani a.k.a Hotelicopter. Kitu kinakupeleka Hewani halafu kinatulia huko na kukuacha ule raha! Usihofu kuhusu Usalama wako, Escort za kutosha kutoka kwenye Helicopter za kawaida zipo, pia kuna parachute za kumwaga. Kwa wale tusiopenda usumbufu na kero za hapa ardhini, nafkiri muda wetu wa kula Raha mawinguni umefika!!!!No comments:

Post a Comment