Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, March 17, 2010

HII NDIO BONGO DAR ES SAALAAMHii ndio Bongo Daslam bwana yaani unachoona hakiwezekani sehemu nyingine,basi hapa kinawezekana .hebu cheki picha hii halafu utapata jibu na kujua nini ninachokiongea.eneo hili silitaji jina wala nini maana najua kabisa kuwa wanafahamu eneo hili.
Picha na inno lyimo!

No comments:

Post a Comment