Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 9, 2010

MTZ AWAKA NA FILAMU MAREKANITulishazoea kumtaja Kanumba kama mtanzania wa kwanza kufanya kazi ya filamu na wanigeria kumbe kuna wengine

Ni mwanadada ambaye ni mwanamitindo aishie Marekani Cynthia Masasi ndo aliyepokea kijiti kwa kuigiza na manguli kadhaa kutoka Nigeria

Cynthia anarekodi filamu iyo inayoitwa Rebound na muigizaji Desmod na Van Vicker ambaye ni mghana

Mbali na filamu hii Cynthia anasema alishashoot nyengine iitwayo Severed Inn ambayo alishoot New York na nyengine atashoot na Van Vicker hivi karibu.

Hongera Cynthia endeleza gurudumu la kuiwakilisha Tz.

No comments:

Post a Comment