Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, March 10, 2010

NYUMBA YA MBUNGE YAUNGUA MOTO!


Mbunge wa Lupa CCM wilayani Chunya, Victor Mwambalaswa

Nyumba ya Mheshimiwa Victor Mwamalaswa, Mbunge wa jimbo la Lupa, Chunya Mkoani Mbeya, imenusurika kuteketea kwa moto usiku kuamkia leo huu baada ya Kikosi cha Zima Moto kufika mapema na kuudhibiti moto huo ambao chanzo chake hakikuweza kujulikana mara moja. Eneo la tukio, ambalo liko maeneo ya Kinondoni maeneo ya Leaders Club jirani na Ubalozi wa India, kulitawaliwa na majonzi na vilio kwa mama wa familia ambaye alikuwa akimshukuru Mungu kwa kumuepusha na janga hilo ambalo liliepushwa kwa kiasi kikiubwa na majirani wachahche waliokuwepo kwa kutoa msaada wa hapa na pale, ikiwemo kuwaita zimamoto...uongozi mzima wa UMBEA.COM unawapa pole.


..sehemu ya ndani ya nyumba baada ya moto kuzimwa
Na mwandishi wetu dsm!

1 comment:

  1. On behalf of the Mwambalaswa family, I'd like to extent my heartfelt "thank you" for the well wishes.

    ReplyDelete