Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Saturday, March 13, 2010

“MCHUMIA JUANI HULIA KIVULINI”


Mtoto huyu kama alivyokutwa na kamera yetu majira ya saa mbili usiku, maeneo ya millenium tower makumbusho karibu na maegesho ya magari,akiwa amepitiwa na usingizi baada ya kuzunguka mchana kutwa kutafuta riziki kwa shughuli ya kupimisha uzito na mzani uliopo pembeni yake.Hata hivyo jina la mtoto huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka( 11-13) halikuweza kupatikana mara moja.
Hii ni hatari kwake na pia kuna uwezekano wa kuibiwa mzani wake ambao unampatia ulaji,mtaji wa maskini nguvu zake mwenyewe!

No comments:

Post a Comment