Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 16, 2010

MWAKA MPYA, BAJAJI MPYA!!!!!

Haya sasa wenye kuendesha biashara ya usafiri wa vibajaji wakae mkao wa kula maana toleo jipya ndiyo limeshatoka, hivyo changamkieni!! Kanapendeza, viti maridadi, model za taa nzuri.. Halafu ukikafungia mziki mkubwa, kama ulaya vilee!!! kazi kwenu wadau!

No comments:

Post a Comment