Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 9, 2010

AJALI NI MBAYA!!! TUWE MAKINI TUWAPO BARABARANI

Pichani ni baadhi ya magari magumu na ghali kuliko yote duniani. Lakini hebu jionee yalivyokuwa baada ya ajali.. Cha msingi ni kuwa makini barabarani, tupunguze vifo vitokanavyo na ajali za barabarani, wenzangu na mie mnaokunywa na kuendesha, acheni hiyo tabia mara moja!No comments:

Post a Comment