Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, March 12, 2010

HABARI ILIYONIFIKIA HIVI PUNDE!


Kipenzi cha mwanamziki Madee anayejulikana kwa jina la Pendo amefariki leo kwenye hosp ya Tumbi iliyoko Kibaha...na MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA KIMARA!
mungu ailaze roho ya marehemu
pendo mahala pema peponi amini!
Na inno lyimo!

No comments:

Post a Comment