Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 9, 2010


Steve Kanumba akipokea 'tuzo ya oscar'
alipotembela Hollywood, Marekani, huko nyuma
Wakati mnuso wa kutangaza waigizaji bora ambao wanatwaa tuzo za Oscar ukiendelea, hapa nyumbani nako kulikuwa na yake. Mwigizaji Steve Kanumba aliibuka kuwa mwigizaji bora wa mwaka huu katika shindano lililokuwa likiendeshwa na redio ya Clouds FM lililoshirikisha waigizaji mbalimbali wa kiume.
Kanumba amewabwaga Hemed, Yusuph Mlela, Cloude na Raymond Kigosi (Ray) katika matokeo yalotangazwa na Clouds FM katika kipindi chake cha kila siku kuanzia saa tatu asubuhi hadi saba alasiri na mtangazaji Dina Marios akishirikiana na Zamaradi Mketema na Gea Habib.

No comments:

Post a Comment