Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 11, 2010

LIL WAYNE ALAMBA MWAKA MMOJA JELA!Rapa maarufu nchini marekani Lil Wayne amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja. Rapa huyo hatapewa kipau mbele chochote akiwa jela na atashirikiana selo na wafungwa wengine. Imezoelekea kwa Masupastaa wa Hollywood kupewa special attention wawapo jela, lakini kwa Weezy, No way! Dwayne Carter a.k.a Lil wayne atapelekwa katika jela yenye wababe na ulinzi mkali kuliko zote inayoitwa Tough Rikers Island iliyopo Newyork.

No comments:

Post a Comment