Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 18, 2010

rais jakaya kikwete asaini sheria ya matumizi ya fedha kwenye uchaguzi


Rais Jakaya Kikwete akisaini sheria ya matumizi ya Fedha Kwenye Uchaguzi katika viwanja vya ikulu jijini Dar es salaam jana ,huku viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa na watu maarufu mbalimbali nchini wakishuhudia.

No comments:

Post a Comment