Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, March 3, 2010

ADHABU MASHULENI!!


Pichani ni Mwalimu mmoja huko India akiwapa adhabu wanafunzi kwa kuwakanyaga mikono na pikipiki baada ya wanafunzi hao kuchelewa kumwagilia bustani za shule..
Jee hii adhabu ni sawa kwa wanafunzi?? Swali kwako mdau wangu

No comments:

Post a Comment