Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, March 3, 2010

DAWA YA WASIOLIPA MADENI HII HAPA!!!


Mzee mmoja akiwa amekaa na fisi wake kwenye kijiji cha Rinka, nchini Naijeria.
Watu wanaodai wenzao hutumia wanyama wa kutisha kama fisi kudai wadaiwa. Ukikataa kulipa basi tena....hakuna msalie mtume... fisi anaachiliwa....

No comments:

Post a Comment