Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, March 1, 2010

MANUNITED YATWAA KOMBE LA CARLINGManchester United a.k.a The Red Devils ilifanikiwa kutwaa kombe la Carling hapo jana baada ya kuilaza timu ya Aston Villa kwa mabao 2-1. Aston villa walianza kwa kasi nakufanikiwa kufunga bao la kwanza katika dakika ya tano kupitia kwa mchezaji wake Milner. Hata hivyo bao hilo halikudumu sana kwani katika dakika ya 12 manutd walisawazisha bao hilo kupitia mkongwe Michael Owen. Dakika 16 kabla ya mchezo kumalizika uper striker wa manchester, Wayne Rooney aliingia na kufanya mambo yake na kufanikiwa kupachika bao la pili na la ushindi kwa timu yake. Hongera Manchester United.

No comments:

Post a Comment