Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Saturday, March 6, 2010

ADHABU YA WAZINZI SOMALIA...adhabu ya mtu anayekamatwa kwa kosa la kizini nchini Somalia ni kupigwa mawe hadi kufa. Awali linachibwa shimo la kumuingiza mtuhumiwa kisha anafukiwa hadi usawa wa kifua na kuanza kupondwa mawe hadi anakata roho ndipo anatolewa..!

PICHA NA MWANDISHI WETU,SOMALIA

No comments:

Post a Comment