Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 4, 2010

JAMANI MBONA HII AIBU KWA WAGENI!


Jamani hebu tuelimike kidogo na tuwe na utu na hata kuona aibu pia ukiona hii picha kwa kweli kijana kama huyu anavyoonekana pichani ni konda wa daladala inayofanya safari zake kati ya mwenge na posta kama alivyokutwa na mwandishi wetu akiwa ana kusanya nauli kwenye basi hilo huku suruali yake ikiwa haijafungwa nilijiuliza maswali mengi hata majibu sijapata mpaka naenda mitamboni wadau wanguNi kwamba konda hana mkanda au suruali ilifunguka bahati mbaya?? au aliifungu makusudi kwa nia tofauti??


Kuna dada mwingine pia aliwahi kuniambia kuna baadhi ya wanaume kwenye daladala wakati ikiwa imejaa sana, na kuna hali ya kubanana.
Huwa wanajisogeza karibu sana na wanawake, baada ya hapo kinachofuata unashangaa tu nguo yako yote imelowa maji maji....Shame


Watu wapunguze ukwasi, mtajitafutia balaa bure
Mwandishi Ntuli aswile!

No comments:

Post a Comment