Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, March 5, 2010

Masikini wee Manyoya.! Mambo yamekuwa si mambo


mamabo yamekuwa si mambo baada ya hawa watu kuonekana kwere kwa kile kitendo walicho kifanya kwa mama flani pale salendar watu wamekuwa wakiwaogopa kabisa na hatimaye kukosa msaada kabisa kama hawa walivyokutwa na UMBEA.COM maeneo ya kariakoo wakiwa wamejipumzisha baada ya kuomba msaada bila mafanikio!
picha na Ntuli aswile

No comments:

Post a Comment