Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, March 8, 2010

Wakware wamezea mate matiti ya Fide


Matiti yaliyojaa vema ya mwanamitindo maarufu Fideline Iranga, yamewatoa udenda baadhi ya midume yenye uchu na kufanya baadhi yao kushindwa kujizuia na kutaka kumvamia ili kumkumbatia.....

Mambo yalianza pale mrembo huyo alipoibuka kwenye klabu moja maarufu ambako kulikuwa na sherehe ya kuzaliwa Miss maarufu, ambapo alipotokeza tu macho yote ya wanaume wakware yaligeuka na kumuangalia kwa staili ya kumsindikiza hadi alipofika kwenye kiti na kuketi.

Iranga ambaye alionekana akiwa bize na Pedeshee mmoja maarufu ambaye alikuwa akitoa dola muda wote kwa ajili ya kulipia huduma mbalimbali, alikuwa amepozi kwa staili ya kiuchokozichokozi akipata kinywaji chake taratibu huku akiwaacha hao washangaaji wakitoa macho kiwiziwizi pengine kumuhofia Pedeshee aliyekuwa naye ambaye alikuwa amemuwekea ulinzi wa mabaunsa.

Baada ya muda kupita mdaku wetu alimfuata Fide amuulize mawili-matatu na kukumbana na pingamizi la Pedeshee huyo ambaye alimjia juu na kudhani kuwa ametumwa na kumvuta Fide pembeni ili waendelee kucheza huku akimkumbatia kwa nguvu zote.

Kama hiyo haitoshi, Pedeshee huyo alihakikisha hakuna mtu anayemkaribia hasa Mapedeshee wengine waliokuwa wakimuita kichinichini kama vile wanataka kumuagizia kinywaji. Kituko kilizidi pale mabaunsa walipoonekana kumsindikiza mrembo huyu mwenye mvuto wa mtikisiko na kumsubiri mlangoni.

Wakati anatoka ndipo mwandishi wetu alipomvizia na kumtwanga picha na kupelekea Fide kutoka nduki. Huko aliendelea kukutana na macho ya wakware walioonekana laivu kuchanganyikiwa na matiti yake mazuri kama ya Dolly Parton.picha na mdau brian!

No comments:

Post a Comment