Habari mbalimbali toka pande za bongo bila kusahau matukio mbalimbali yanayorindima pande zote za dunia
Psquare Ft. J.Martins- E No Easy
Monday, March 8, 2010
Uwanja wa Mwanza wapigwa deki
Kaka Inno mambo vp! ebwana hebu rusha hii wadau waone manake tuko airport toka asubuhi mpaka mchana huu hapa Mwanza na hakuna ndege inayotua wala kuruka kwani uwanja unapigwa deki kutoa maji Mdau Jamal toka mwanza
No comments:
Post a Comment