Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, April 4, 2010

Pacha wa Uwoya Ategemea Kupiga kazi na RJ!
Pacha wa Irene Uwoya Jackline Wolper anategemea kufanya kazi na kampuni ya RJ kama mambo yakienda sawa na ataonekana kwenye mzigo mpya ambao soon kampuni ya RJ itaingia location kuanza kazi.Yeye mwenyewe Wolper anapenda kufanya kazi na RJ anaamini kupitia RJ atazidi kufahamika zaidi na kuwa juu zaidi kwani anaamini movie za RJ zinatembea dunia nzima na zina mashabiki wengi

No comments:

Post a Comment