Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, April 4, 2010

wabunge watembelea mahakama morogoro na mvomero


Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba , Sheria na Utawala wakiwa na Mwenyekiti wake George Lubeleje, ( watatu kutoka kulia ) wakisikiliza matatizo ya Mahabusu ( hawapo pichani ) wakati wakipotembelea Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawishi wa Wilaya ya Morogoro. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mh. Said Mwambungu.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, George Lubeleje, ( watatu kutoka kulia ) akifafanua jambo nje ya jengo la Mahakama ya Mkoa ( wa pili kulia )ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro, Projestus Kahyoza na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mh. Said Mwambungu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala ( wa pili toka kulia) George Lubeleje , akipata ufafanuzi toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Hery Hatibu ( watatu kulia) na kwanza ( kulia) ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Fatma Mwassa.

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, George Lubeleje, ( wapili kutoka kulia ) na baadhi ya wabunge na watendaji akitoka kwenye jengo la Mahakama ya Hakumu Mkazi Mkoa ( wa kwanza kulia )ni Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro, Projestus Kahyoza. P:icha zote na John Nditi wa Globu ya Jamii Morogoro.

No comments:

Post a Comment