Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, April 4, 2010

Miss World kufanyika katika jiji la Arusha


Shindano la urembo la dunia linatarajiwa kufanyika nchini , ndani ya jiji la Arusha mwishoni mwa mwaka huu

Kwa mujibu wa mtandao wa waandaaji wa shindano hilo ,unadai kuwa wamechagua Tanzania ikiwa ni nchi yenye vivutio vizuri duniani.

Mchakato wa kumsaka mshiriki wa shindano hilo umeanza hapa nchini kwa mawakala kupigwa msasa!

Kazi kwetu kulinyakua taji hilo!!

No comments:

Post a Comment