Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, May 19, 2010

12 Wauwawa Afghanistan kwa Bomu la Kujitoa Mhanga
Mtu ambaye bado hajafahamika aliyekuwa akiendesha mabasi ya umma katika mji mkuu wa Afghanistan mapema jana alijitoa mhanga kwa kujilipua ndani ya ngome ya majeshi ya NATO kupitia gari alilokuwa akiendesha na kuua watu angalau 12 ikiwa ni pamoja na wageni watano, Maafisa walisema.
Msemaji wa NATO alisema kuna majeruhi kati ya majeshi ya NATO lakini hakutaka kutoa idadi ya waliokufa au kuumizwa vibaya.

No comments:

Post a Comment