Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Saturday, May 15, 2010

NI MWAKA WA DIAMOND - AZOA TUZO TATU!!!unaweza kusema kuwa huu ni mwaka wa msanii chipukizi Diamond...kwani usiku wa leo katika tuzo za kili ameibuka kidedea kuliko wasanii wote kwa kuzoa tuzo tatu kwa mpigo...pichani anaonekana akifurahia tuzo hizo akiwa na mama yake mzazi!diamomd akikabidhiwa tuzo ya wimbo bora wa mwaka 'kamwambie' na imani madega wa yanga...ni furaha tuu


ankal michuzi akikabidhi tuzo ya Walk of fame kwa mzee Zahir zorromzee zorro akiwa na familia yake, banana na maundatimu ya watangazaji wa radio Clouds FM, akiongozwa na mkurugenzi Ruge Mutahaba (aliyeshika tuzo) wakipokea tuzo ya WALK OF FAME kwa mchango wake katika kuendeleza muziki wa kitanzania

No comments:

Post a Comment