Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, May 14, 2010

Sean Kingston Atembelea TBL janaMwanamuziki Sean Kingston akiweka saini katika chupa ya bia ya Kilimanjaro alipotembelea TBL jana


Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,David Minja (kulia) akiongea na Mwanamuziki wa kimarekani mwenye asili ya Jamaica,Sean Kingston (katikati) pindi alipofika katika makao makuu ya kampuni ya bia hapo jana.Afisa wa TBL,(jina limenitoka kidogo) akiwapa maelezo ya namna wanavyotengeneza vilaji vyao vyote kwa wanamuziki waliokuja pamoja na Sean Kingston walipotembelea TBL leo.Super Model Jamillah akipiga stori mbili tatu na mmoja wa wasanii waliokuja na Sean Kingston wakati wa ziara yao katika makao makuu ya kampuni ya bia TBL.


wakiendelea kupata maelekezo.


sehemu ya mashine za kisasa kabisa zitumikazo kuzalishia vivywaji vya TBL

No comments:

Post a Comment