Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, May 31, 2010

Nina mapacha tumboni mwangu!!Hatimaye superstar aliyegonga wimbo mtamu wa "My heart will go On",Celine Dion, amejitokeza na kuwaeleza mapaparazzi waliokuwa wakimfwatilia na kumchunguza kila kukicha kama yeye ni mjamzito.

Mwanamama huyo machachari mwenye miaka 42 alisema ana uja uzito wa miezi 14 na anategemea kujifungua watoto mapacha!

Kabla ya mimba hiyo tayari alikuwa na mtoto Rene Charles mwenye miaka 9.

Pia aliwataka wapenzi wa muziki wake kukaa mkao wa kula sababu anakuja na album mbili mpya zilizoshiba!

No comments:

Post a Comment