Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, May 20, 2010

Kauli ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam “Usafi wa jiji ni wa kila Mtanzania” Inatimizwa?Pichani ni eneo la katikati ya Mji wa Dar es Salaam maarufu kama Posta Mpya stand ya mabasi ya magari yatokayo karibu kila kona ya Jiji la Dar es Salaam. Kuna baadhi ya watu wanaofanya jiji na Mazingira yake kuonekana halifai kwa hali ya utupaji taka ovyo. Tupunguze kutupa uchafu ovyo!

No comments:

Post a Comment