Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, May 17, 2010

MAPOKEZI YA MAMA SALMA KIKWETE PEMBA!!!


Hivi ndivyo Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete alivyopokelewa alipokwenda ziarani Pemba. Hii ni ngoma ya kiumbizi ambayo huchezwa na wananchi wa Pemba.(Picha na John Lukuwi wa Maelezo)

No comments:

Post a Comment