Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, May 16, 2010

mdau aibuka mwanafunzi bora mysore

Mdau Alfred Aichi Minja (kulia) amekuwa mwanafunzi bora katika Chuo andamizi cha Chuo Kikuu cha Mysore(Basuv Somani College) India katika Shahada ya Kwanza ya Biashara (Bcom)mwaka 2009.

Alfred alitunukiwa zawadi mbili. Ya kwanza ni kuwa bora na ya pili ni kuiwakilisha vyema katika makongamano mbali ya kielimu baina ya vyuo mbali mbali Mysore. Sherehe Hii ya Somani Sambram hufanyika kila mwaka na kuwatuza wanafunzi waliofanya vizuri.
Mdau Alfred akiwa na mwalimu wake pamoja na washindi wa pili na wa tatu

No comments:

Post a Comment