Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, May 4, 2010

Bamaga Mchana Huu


pamoja na kwamba taa zipo na zinafanya kazi kama kawa,lakini bado hali ni kama ionekavyo katika picha hii.hapa ni katika makutano ya barabara ya old Bagamoyo rodi na Shekilango rodi pamezoeleka kutwa Bamaga.

No comments:

Post a Comment