Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, May 20, 2010

Wachina Wakabidhi Uwanja wa Amaan Stadium Zanzibar!!!
Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo,Ali Juma Shamuhuna,akitiliana saini na Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Xinshang ikiwa ni makabidhiano ya Uwanja wa Amaan Studiam baada ya Uwanja huo kufanyiwa matengenezo makubwa na kampuni ya Fujian Construction and Engineering Group,kutoka China.

No comments:

Post a Comment