Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, May 21, 2010

18 Wabambwa Mbagala kwa kuishi kinyume nchini!Watuhumiwa wa kesi ya kuishi nchini bila kibali, Raia wa Bangladesh 18, waliokamatwa Mbagala jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisuru leo, wakusubiri kusomewa shitaka lao. Watuhumiwa hao walikamatwa wakati wakijiandaa kuondoka nchini kuelekea Kusini mwa Afrika.
Daniel Kandulu na Salum Kitumbalio, ambao walikuwa wenyeji wao, walikuwa wakiwatoza watuhumiwa hao dola 200 kwa siku kwa kila mmoja, wote walikiri makosa na kuhukumiwa kifungo cha miezi sita jela killa mmlja.

No comments:

Post a Comment