Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, May 6, 2010

Pinda Akutana Na Tsvangirai


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsavangirai, Ofisini kwake jijini Dar leo. Tsavangirai yuko nchini kuhudhuria mkutano wa Uchumi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mh. Morgan Tsavangirai baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu wetu

No comments:

Post a Comment