Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, May 20, 2010

Basi La Taifa Stars lavaana na Pick up!!Basi la Taifa Stars likiwa limegongana uso kwa uso na pick up leo sehemu za Millenium Towers, Kijitonyama, jijini Dar.
Hakuna aliyeumia katika ajali hiyo ambayo chanzo chake hakikuweza kufahamika mara moja.

No comments:

Post a Comment