Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, May 13, 2010

Sean Kingston Atua DarSean Kingston akiwa na Mkurugenzi wa masoko wa TBL,David Minja (kulia) pamoja na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kushoto) wakitokea ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku huu.wengine ni wapambe wa Sean Kingston
Sean Kingston akiingia garini
Mwanalibeneke Abdallah Mrisho a.k.a Abby Cool akiwa amezungukwa na warembo waliokuwa wakiangalia picha katika kamera yake wakati wa mapokezi ya mwanamuziki wa Kimarekani,Sean Kingston katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere usiku huu.


baadi ya wadau wakiwa katika mazingumzo ya hapa na pale wakati wakimsubiria Mwanamuziki Sean Kingston.

No comments:

Post a Comment