Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, May 19, 2010

Aliyedaiwa Kuwa Mwizi Apondwa Mpaka Kufa!!Kijana huyu aliuwawa asubuhi ya leo maeneo ya bunju na wananchi wenye hasira kali wakidai kuwa huyo kijana alikuwa mwizi.
Jamani tuache uwizi, bora uombe tu! Ona madhara yake sasa!

No comments:

Post a Comment