Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Wednesday, May 5, 2010

mradi wa CHAMPION watoa mafunzo ya ukimwi kwa wanahabariMkufunzi kutoka Mradi wa ‘CHAMPION’, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali EngenderHealth, Sara Teri , akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini Dar
Mwandishi na Mtangazaji mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Salum Mwalim, akichangia mada wakati wa Semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masula ya Ukimwi na Afya ya uzazi chini ya mradi wa CHAMPION- unaoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la EngenderHealth kwa ufadhili wa USAID iliyofanuyika jijini Dar.Mkufunzi wa Mradi wa CHAMPION, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali, EngenderHealth, Dk. Ben Ngoye, akiendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusu maambukizi ya Ukimwi iliyofanyika jijini DarMkufunzi wa Mradi wa CHAMPION, unaofadhiliwa na Shirika la Misaada ya Maendeleo la Watu wa Marekani USAID, chini ya Shirika lisilo la Kiserikali, EngenderHealth, Dk. Ben Ngoye, akiendesha mafunzo hayo kwa waandishi


Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria Semina ya kuwajengea uwezo wanahabari juu ya masula ya Ukimwi na Afya ya uzazi chini ya mradi wa CHAMPION- unaoendeshwa na shirika lisilo la kiserikali la EngenderHealth kwa ufadhili wa USAID iliyofanuyika jana jijini Dar

No comments:

Post a Comment