Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Sunday, May 16, 2010

Mashindano Ya Safari Lager Pool Table Yaendelea janaMshiriki wa mchezo wa Pool kwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu akifanya mambo yake katika mchezo huo unaoendelea katika fukwe ya Coco Beach kwa udhamini mkubwa wa kilaji bora na chenye msisimko kabisa hapa nchini,si kingine bali ni Safari Lagermchezo ukiendelea....


uzuri wa mchezo huu unaucheza kwa staili yoyote ile uipendayo,kama aonekanavyo mchezaji huyu.washangiliaji wakifurahia ushindi.

watazamaji wakifuatilia kwa makini mchezo wa Pool unaendelea leo katika fukwe ya Coco Beach ikiwa leo ni hatua ya Mtoano na timu zitakazofanikiwa kupita leo zitaenda moja kwa moja katika hatua ya Robo fainali na baadae nusu faili na mwisho zitabakia timu mbili ambazo zitacheza fainali.kumbuka kuwa mashindano haya yadhaminiwa na kampuni ya Bia ya TBL kupitia kilaji chake cha Safari Lager.

No comments:

Post a Comment