Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, May 11, 2010

Wizi Ndani ya Lifti Wapamba Malaysia!Kamera ya Umbea ilifanikiwa kunasa tukio lililotokea hapo jana Katika Moja ya Maghorofa ya makazi ya watu hapa Jijini Petaling nchini Malaysia.
Kumekuwa na matukio ya wizi ambapo watu walikuwa wakiporwa na waendesha pikipiki, ukitembea vibaya tu, unaliwa timing kisha wanapitia chochote ulicho nacho kwa spidi kali wakiwa na pikipiki. Polisi wamejitahidi kuzuia wizi huo wa pikipiki na kuupunguza kwa asilimia kubwa, sasa vijana hawa wamekuja na mbinu mpya ya kukaba na kupora watu ndani ya lifti.
Hii ni changamoto ingine kwa wana usalama na polisi hapa Malaysia.

No comments:

Post a Comment