Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Friday, May 7, 2010

RAY AJA UPYA KWENYE FILAMU YA SUPRISE

Nimekuja tofauti kabisa katika mzigo wangu wa SURPRISE na nina uhakika kwa wapenzi wangu wa movie ambao wameshaona baadhi ya movie zangu na mzigo wangu uliopita wa MY DREAMS ambao kila kukicha napewa pongezi za hapa na pale humu kwenye SURPRISE nimecheza kipekee mpka nimekuwa kichekesho location maana crew yangu ya production hawaamini kile ninachokifanya kwakweli nimecheza sana,hata ukiona baadhi ya picha utaona kweli nimechange,Ama kweli hii itakuwa SURPRISE kwa mashabiki wanguHaya ndio maisha yanguNatafuta riziki


Kazi ni kazi bwana

Wacha nitaabike ipo siku tu

KUONA PICHA ZAIDI TEMBELEA RAYTHEGREATESTBLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment