Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, March 8, 2010

KIBAKA ALA KIPONDO


Huyu ni kibaka aliyekutwa akifungua kioo cha gari ya rafiki yangu karibu na chuo cha ustawi wa Jamii barabara ya shekilango. Alikuwa akijifanya anaokota chupa za maji zilizotumika. Akiwa ana bisi mpya mbili za bei mbaya.
picha na Ntuli Aswile!

No comments:

Post a Comment