Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Monday, March 8, 2010

MWANA UMLEAVYO.......!!!!


Mtoto mdogo anayeelelewa katika makazi ya Kulea Watoto Yatima na wasio na Makazi Maalum wa CHAKUWAMA kilichopo Sinza Dar es Salaam akiwa amemuwekea sanamu ya bastola mwenzake wakati wanacheza. Wazazi na walezi wanaopaswa kuangalia vitu vya kuwanunulia watoto kuchezea wakiwa wadogo kwani wanaweza kuona silaha halisi ndani na kufyatulia watu akidhani kuwa ni toi. (Picha na Brighton masaua)

No comments:

Post a Comment