Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 4, 2010

VINA MAANA GANI???

Katika pita pita mitaani si haba kuona wadada kwa kina mama wamevaa vikukuu miguuni eti hivi huwa vina maana gani?

Nasikia kila mguu unamaanake kama mguu wa kishoto unamaanake hata wa kulia pia una maana yake. Je ukichanganya yote inakuwaje ?

No comments:

Post a Comment