Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Thursday, March 4, 2010

AMINI USIAMINI!!!
Ama kweli pesa ni sabuni ya roho, pichani ni Gari aina ya BMW lililotengenezwa kwa kutumia dhahabu tupu! Sasa Sasa ole wako ulikwaruze au uligonge, sijui utadaiwa kiasi gani kulirejesha katika hali yake ya mwanzoni!

No comments:

Post a Comment