Psquare Ft. J.Martins- E No Easy

Tuesday, March 2, 2010

BONGO TUTAFIKIA LINI LEVEL HII??Pichani ni mabasi yatoayo huduma za usafiri hapa mjini Kuala Lumpur. Manchester United walipotembelea Malaysia mwaka jana walifurahishwa na huduma ya mabasi haya na kuamua kuyadhamini, kama unavyoona mabasi yote yana picha za wachezaji wa Manchester United.Hii ni Changamoto kwenu watoaji usafiri wa Bongo!!

No comments:

Post a Comment